The Revolutionary Government of Zanzibar
Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar

DAWATI MAALUM LA KUPOKEA MALALAMIKO/VIKWAZO VYA KIBIASHARA

Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar imeanzisha Dawati maalum la kupokea vikwazo na malalamiko ya kibiashara.


Ndugu Mjasiriamali na Mfanya Biashara unaombwa kuwasilisha malalamiko yako idara ya Biashara na Masoko iliopo Malindi mkabala na Taasisi ya Sayansi za Bahari


Au tuma kwa email ya Wizara info@tradesmz.go.tz.


inasisitizwa unapo wasilisha malalamiko hayo ambatanisha na ushahidi wa Maandishi/RisitiImetolewa na;

UONGOZI WA WIZARA YA BISHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA ZANZIBAR