Follow us:
The Revolutionary Government of Zanzibar

Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar

Events
13th, December 2022

UFUNGUZI WA MAONESHO YA VIWANDA 2022

Mheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali akitembelea mabanda ya maonesho wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.

Read More
13th, December 2022

Mheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali akitembelea mabanda wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.

Read More
13th, December 2022

UFUNGUZI WA MAONESHO YA VIWANDA 2022

Mheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.

Read More
22nd, November 2022

Read More
22nd, November 2022

UWEKAJI SAINI MKATABA WA KAMPUNI YA MWANI

Uwekaji saini wa Mkataba baina ya Kampuni ya Mwani (ZASCO) na Taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo (UNCDF). Mkataba huu unalenga kusaidia Sekta ya Mwani nchini.

Read More
29th, August 2022

Read More
19th, August 2022

ZIARA YA KAMATI YA KILIMO, BIASHARA NA UTALII

KAMATI YA KILIMO, BIASHARA NA UTALII YA BARAZA LA WAWAKILISHI IMETEMBELEA ENEO TENGEFU LA MRADI WA UJENZI WA VIWANDA LILIOPO PANGATUPU WILAYA YA KASKAZINI 'B' UNGUJA

Read More
17th, August 2022

MAKABIDHIANO YA WIZARA

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Dr. Islam Seif a

Read More
17th, August 2022

Read More
17th, August 2022

Read More
17th, August 2022

Read More
17th, August 2022

PICHA YA PAMOJA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA WIZARA

Viongozi wa Wizara wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa makabidhiano ya Wizara

Read More
09th, August 2022

SMZ YATANGAZA BEI ELEKEZI YA KARAFUU.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali. SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeweka utaratibu mpya wa uuzaji wa zao la karafuu ambapo sasa wakulima watalipwa kuendana na bei ya soko la nje badala ya ile inayopangwa na serikali bila kuzingatia thamani sokoni. Akizungumza na waandishi wa habari mjini

Read More
09th, August 2022

SMZ YATANGAZA BEI ELEKEZI ZA VYAKULA MWEZI WA RAMADHANI

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shabaan akizungmza na waandish wa Habari juu ya Bei elekezi ya vyakula ikwemo Mchele, Unga wa Ngano na Sukari kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani hapo Afisini kwake Malindi Zanzibar. SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza bei elekezi kwa ajili ya bidhaa za vyakula vinavyotumiwa wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani u

Read More
09th, August 2022

WAZIRI WA BIASHARA AFANYA ZIARA YA GHAFLA KIWANDA CHA NGUO CHA BASRA

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Mhe Omar Said Shaaban akiangalia baadhi ya bidhaa ambazo zinazalishwa katika kiwanda cha Nguo kinachojulikana kwa jina la Basra kilichopo Muembe Makumbi Zanzibar alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kutaka kujua kwa nini kiwanda hicho kimesitisha uzalishaji. kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho Saleh Suleiman Hamad. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya

Read More
Contact Us
Languages