Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar
Events
22nd, November 2022
UWEKAJI SAINI MKATABA WA KAMPUNI YA MWANI
Uwekaji saini wa Mkataba baina ya Kampuni ya Mwani (ZASCO) na Taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo (UNCDF). Mkataba huu unalenga kusaidia Sekta ya Mwani nchini.